Ni kweli, Katiba ya Zanzibar inataka SUK.
Lakini Katiba vilevile inasema Mamlaka huwekwa na Wananchi.
Jee, katika hili kauli/chagua la wananchi limeheshimiwa?
Nadhani SUK inayozungumzwa na Katiba ni Ile ambayo mshindi ameshinda kwa HAKI na aliepata kura zaidi ya 10% nae ameipata kwa HAKI.
Hapo...
Kujiunga na SUK, NDIO ni kukubali uchaguzi na Kumtambua alietangazwa mshindi.
Hii ipo wazi, vipi utafanya kazi na mtu au mamlaka usioitambua na wewe umo humo humo.
Ni kuhalalisha yote yaliyotokea.
Inauma sana baada ya yote yaliotokea ACT mnasema yote ni haki.
Binafsi siwezi kuwaamini tena, kuna...
Ikiwa Katiba ya ACT inazungumza hivyo basi na hao wawili wanaojiita Wanachama wa ACT na wao sio Wanachama tena.
Wanapo-omba wagombea wao waondoshwe kugombea ili wagombea wa vyama vingine wapite.
Hicho hicho wanachokilalamikia na wao ndicho wanachofanya.
Unaomba wagombea wa chama chako...
Yaani kwa vile Mpiga-kura hakuhakiki taarifa zake ndio makosa haya yametokea?
ZEC haikuweza kujua jina la JUMA ( kwa mfano) ni mwanamme au mwanamme?
ZEC haikuweza kutofautisha picha ya mpiga kura kwa kutumia taarifa zake( yaani picha ya mwanamme Vs mwanamme)?
Sijawahi kuona Mzanzibari...
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.
Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
Ikiwa mnakubalika kiasi hicho kwa nini mnaogopa sanduku la kura?
Waacheni wagombea mshindane kwenye sanduku la kura.
Kwa nini vitambulisho vya kura watu wananyimwa Zanzibar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.