Recent content by Prettyliar

  1. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Yani this week anatoka Natasha na Selly....mbona huyu. Pokello hatoki jamani
  2. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Mmmh jamani usiseme nakaonea huruma kabinti cha watu....
  3. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Jamani wenye VIP....eti feza na Oneal walinanilii on saturday......
  4. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Hhahahaaaa...ila pokello jamani...balaa...yani anajeuri na full kujiamini...sijui watu wanampendea nini
  5. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Hahhahaaa...eti leavin zinjathropus...lol..mi namuonea huruma bana....mi nahisi anatoka hakeem na fatima
  6. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Its so hard to tell...ila fatima is given...lazima asepe naa hakeem maybe
  7. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Nomination za leo nimezipenda aje....wise decision by melvin and elikem
  8. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Pokello anachukiwa na almost all housemates wa ruby....sioni kisasi coz its not like pokello alimfanyia hivyo then feza akalipiza...betty was a different case...alilipiza kabisa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Hahahaaaa....nimeipenda hiyo....
  10. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Eti anasema kuna touching story bassey alimuambia kuhusu maisha yake....ila hakusema ni story gani
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

    Mmmmh bana...its black and white coz usiku hawawezi kuacha taa on...so kwa housemates ni giza ila kwa watazamaji ndo wameweka hivyo ili tuone what's goin on
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

    Ipo sana....tena wale ndo balaa zaidi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

    Bakhresa....mchango wake katia jamii ni mkubwa sana...aliona kuwapa vijana pesa haitawasaidia na siku mbili watalia njaa tena...akaamua awape baiskeli wauze ice cream ambayo ni ajira nzuri....
  14. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Mwambie ...the show is rated 18...
  15. P

    JamiiForums Tanzania FEZA na NANDO ndani ya Big Brother - The Chase

    Eeeh unasema...na maana Betty alibeba kitu
Back
Top Bottom