huyu baba hajawahi nihudumia labla nikusaidie na alikuwa anatoa laki 2 tu asa nikuulize ww io laki mbili watoto wawil wote wanavaa pampars wanakunywa selelak wanakunywa maziwa bado vyakula bado naul za hosp hiv ww io laki mbili mm napata nn labla? afu usichokijua wamama tuko radhi wanetu waenjoy...
mtoto siku zote ni wamama kuwaba ubini ni sheria na taratib zilivyo sio kwamba eti kisa ubini wako mtoto wa baba sio kwel aliyomzaa ndo mwenye mtoto[emoji23]
asante ndo nmeshauriwa nimpeleke mahakamani[emoji24][emoji24]yamenifika shingoni natamani sana ila nampenda san bab mtoto wangu ila itanibid maan hasapoti chochote jmn
naumia sana hili mkuu naumia mnoo naipenda familia yangu ila jitihada zote zinashindikana maan aman na watoto sina kutwa kutishiwa ndo maan naenda mahakamani basi mahakama ikiamua mama mpika vitumbua apokonywe watoto nitaridhia sababu sheria imesema ivo
nimekuelewa ila shida mwanaume ndio hanitaki kaka nishajaribu sana kuomba msamaha tuishi ila mama mzazi wa mume ndo mwiba namwanaume anamsikiliz mama yake aliniacha nikiwa na mtoto mdogo nilipambana mwenyew akajarib kuwapokonya watoto mara anitishie kustopisha pesa ya matumiz mie napambana...
mimi sijaachana na mume wangu ila yeye ndo aliyeniacha familia yake ilikuwa hainipendi mm hivo mwanaume akaona bora awe na familia yake hivyo tukaamua kuachana kwa talaka za kiislam nikaamua kurud kwetu na alinambia hatanipa chochote hivo niliondoka na watoto wangu na niliachwa kipind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.