Nina wasiwasi kama sio mmojawapo wa wale waliojianika kwenye ile video, basi ni demu wa mmojawapo wa hao wenye hizo video, maana povu hilo linalokutoka sio la bure. Dereva wa Kirikuu.
Hiyo mitandao watoto hawana access nayo kama ambavyo wanaangalia TV. Hofu yangu ni kuwaharibu watoto wakiwa wadogo, wakue wakidhan hayo ndo maadili. Idimi.
Hivi hiki chombo huwa kinafanya kazi kweli? Au ndo kuendekeza njaa tu, wakipewa kitu kidogo wanaachia tu aibu kama hizo zipigwe kwenye public? @ Mungu Mweusi.
Huwa wanatembea wamevaa bikini barabarani? sijawahi kukutana nao kwakweli. Hebu tuungane kukemea huu utamaduni ambao watoto wetu watapata effect moja kwa moja, kwasababu ndo wanashinda kwenye TV kila mara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.