Jamani mwenzenu ninakereka sana na rafiki wa mume wangu. Yaani huyu jamaa hana kazi kila wakati ni kumpigia mume wangu simu, kuomba pesa na hata kutaka wawe wanakutana nae. Humfuata ofisini na hata huwa kama mhabarishaji wake wa kila siku.
Message anazomtumia kwa kweli sizipendi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.