Natafuta mchumba mwaminifu, anaejali, asietumia kilevi chochote, awe mcha Mungu, umri 27_30, mtanashati, mkristo, awe anaishi Arusha au Moshi, nitampenda na kumjali hatojuta.
Sifa zangu;
- Mfupi wastani
- Mweusi
- Mwembamba wastani
Mengine tutafahamiana
Niandikie kupitia email...