Naomba mtu anayefuga anisaidie experience, Ni kuku aina gani wazuri, wa nyama au wa mayai? Wa kienyeji ama wa kizungu ama chotara? Naweza kuanza na kuku wangapi? Na chakula wanakula kiasi gani kwa siku? Banda linahitajika ukubwa gani... kwa jumla mtaji nahitaji kiasi gani? Dawa, n.k
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.