Recent content by Praxx

  1. P

    JamiiForums Nafasi ya kazi

    Natafuta mwl anayeweza simamia Day care kama mwalimu mkuu Shule inapatikana Kimara Mwisho.(njia ya Dawasco) Sifa: 1.Awe na sifa ya uongozi. 2.Awe amesomea Ualimu. 3.Uzoefu wa miaka 3 akiwa msimamizi wa kazi. 4.Uzoefu wa kutumia computer vizuri excel na word. Tafadhari tuma cv kwenye namba hii...
Back
Top Bottom