Recent content by Potifar

  1. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Shukran wakuu nimejifunza sana...@G.Jacob, mutu murefu, gerit mbarikiwe sana...
  2. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Hapana wala siwez kumtangaza;...
  3. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Pole sana mkuu...ndo changamoto zenyewe...!!maisha lazima yaendelee
  4. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Hehehehehehe....unajua ukiwa chuo unaona maisha umeyapatia...wacha mm nifanye yangu,...!!!
  5. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Hongera sana, naona ni sawa na umri wa huyo mtoto...Mipango ya Mungu Mkuu wala hakuna anayependa haya yatokeee ama iwe hivyo unavyoweza kuzania...
  6. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Nadhan tatizo sio wadogo zetu tatizo lipo kwa Mtu mwenyewe. Mimi naamini kama mtu upo kwenye mahusiano ukawa na msimamo wako wala sio tatizo maana hata access ya kwenda ama kuonana ipo. hata sisi tulikuwa chuo na tulikuwa na wadada wenye wachumba zao walijiheshimu na mpaka chuo kikaisha...
  7. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Shukran mkuu...Mungu ataniongoza mahali pema zaidi...!! Pole pia mahusiano yanachangamoto sana...
  8. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Nashukuru sana kwa ushauri...
  9. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwamba ngozi nyikani eeenh....!!!
  10. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanamke anaelialia...
  11. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Shukran sana....napambana na hali yangu...naamini ntakua sawa....!!!
  12. Potifar

    Ushauri: Kuachana na binti ambaye nilikuwa na malengo naye

    Shukrani sana Mkuu hatua ya kwanza nimekwisha pita na hakuna mabadiliko aliyoyaonesha, baada ya kutathmini sana nikaona ni vyema nifanye uamuzi mgumu tu wa kumuacha aende zake japo maumivu ni makubwa lakini afadhali narejea kwenye furaha yangu japo taratibu. Kusema ukweli kwa namna nilivoamua...
Back
Top Bottom