Recent content by Poshie

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Mada nzurii...hasa kwa vijana
  2. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    Hasara hizo zinaletwa na wezi wa haki zao...bro don't justify wrong kisa wewe unafanya kuna wengine wanaumia out of yo wrongs...periodt
  3. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    Ndo utambue unainfringe haki za watu. Kabla ya kushare hizo movie unatakiwa upate kibali husika ambacho at end of day kitakunufaisha pia kwenye mgao atakaopata huyo mmiliki wa hiyo kazi kutakua na percent yako. Elimu ya hakimiliki na Intellectual Property kwa ujumla bado sana nchini mwetu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    kwenye internet ndo kuna hizo haki za dijiti (Digital Rights Management) ukipata wasaa pitia hicho kitu uone wenzetu wanavyonufaika na DRM.
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    Hii ni excuse ambayo imekua ikitumiwa na copyright infringers. Ifike mahala tutambue wrong is wrong hata kama inanufaisha wrongdoers mfano tunaweza kuona kwenye wasanii wetu wa bongomovies wamekua na majina makubwa ila kipato hamna hii ni kwasababu kazi zao ndiyo zinaongoza kuwa infringed. Elimu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    USIMAMIZI WA HAKI ZA DIJITI/DIGITALI; NINI KIFANYIKE? Ni ukweli usiofichika teknolojia imekuza uchumi wa nchi hii kwa kasi mno. Kampuni na watu binafsi hasa wafanyabiashara hutumia ulimwengu wa elektroniki (e-world) kama nyanja yao kuu ya mawasiliano na wateja wao. Katika mawasiliano yao...
Back
Top Bottom