Well done Yebo2,
Hivyo automatically Rais akikubaliana na Barua ya EL basi baraza limevunjika, na ndipo kitakuja kimbembe cha nani awe nani tena!!
Any where tuzidi kumwomba Mungu maana anaweza akachaguliwa mwingine fisadi kuliko wote!!!
Nampongeza sana EL kwa kuwa mtu wa kwanza PM kuweza kujiudhuru wazifa wake. Hata kama ni kwa kshifa lakini wangapi wanatajwa na kashifa lakini utasikia sing'atuki ng'00
Tuwe na moyo huo wa Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.