Nchi inaingiaje kwenye uchaguzi ambao dola imeamua yenyewe nani agombee nafasi gani na kupitia chama kipi!?
Yaani Mpina, Salumu Mwalimu ndo wawe wapinzani wakubwa?
Ukifuatilia historia ya wametoka wapi na lini mpaka kugombea hizo nafasi unagundua kabsa wamepandikizwa na sisi_M ili baadae waje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.