Recent content by pombesichai254

  1. P

    Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu

    20PROFF habari natumai wee mzima kaka robo tatu heka ya zao gani sababu kila zao lina gharama tofauti uko mkoa gani. pia huko wanalimia kwa bei gani je unatumia tractor au plau. em nifafanulie tafadhari mkuu...nakuomba
  2. P

    Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu

    habari wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
  3. P

    Natafuta kazi, nina diploma ya Kilimo na Mifugo

    Ndugu ni matumaini yangu ni wazima. Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma). Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
Back
Top Bottom