Recent content by Political Jurist

  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025

    𝙈𝙧𝙖𝙙𝙞 𝙬𝙖 𝙈𝙖𝙟𝙞 𝙎𝙖𝙢𝙚- 𝙈𝙬𝙖𝙣𝙜𝙖- 𝙆o𝙧𝙤𝙜𝙬𝙚 𝙏𝙪𝙢𝙚𝙣𝙪𝙛𝙖𝙞𝙠𝙖 . Maji ni Uhai ni sentensi yenye maana kubwa katika Maisha ya Binadamu kwamba uhai wetu na maisha yetu binadamu na viumbe hai wote ikijumuisha Wanyama na Mimea yametegemea maji katika ustawi wake lakini usemi huu una nguvu na maana kubwa zaidi...
  2. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mapokezi ya makamu mwenyekiti wa CCM Ndg.Stephen Wasira mkoani wa Simiyu

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, Aungana na Wanachama wa CCM Katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Stephen Wasira , Leo Lamadi Busega. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameshiriki kwa furaha katika mapokezi ya Makamu...
  3. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    𝗥𝗮𝗶𝘀 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗻𝗶 𝗖𝗵𝗮𝗺𝗽𝗶𝗼𝗻𝗶 𝘄𝗮 𝗨𝗰𝗵𝘂𝗺𝗶 𝗕𝘂𝗻𝗶𝗳𝘂 (𝘾𝙧𝙚𝙖𝙩𝙞𝙫𝙚 𝙀𝙘𝙤𝙣𝙤𝙢𝙮). 𝙽𝚊. 𝙰𝚖𝚘𝚗 𝙽𝚐𝚞𝚖𝚊 . Zamani za kale na hata sasa dhana ya Uchumi imekuwa ikijikita katika uzalishaji na uuzaji wa bidhaa na huduma ,kwamba chanzo kikuu cha uchumi ni bidhaa au huduma lakini katika ulimwengu wa sasa upo Uchumi Bunifu (...
  4. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM, Mohammed Kawaida: Tumedhamiria tunazima zote tunawasha kijani

    TunazimaZoteTunawashaKijani TunayeTunatambaNae HilindioChamaKubwa
  5. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Kuweni baraka, sio kitunguu kuwatoa machozi wengine - Dkt. Biteko

    KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO - Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni -Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana - Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo. Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ...
  6. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Shemsa Mohamed ashiriki harambee kanisa la KKKT na kuchangia milioni 33.2

    MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameungana na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika harambee ya kuchangia...
  7. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  8. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  9. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shemsa Mohamed: Chagueni CCM tusonge mbele

    ♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na tarehe 25 Novemba, 2024 alipiga kambi katika Jimbo la Kisesa kupiga kampeni za kuhamasisha wananchi...
  10. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shemsa asisitiza umuhimu wa Uchaguzi katika maendeleo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Ndg.Shemsa Mohamed ameendelea na ziara yake yenye jina la Siku Saba za Moto ambapo tarehe 25 Novemba, 2024 aliweka kambi katika Jimbo la Kisesa akitembelea Kata ya Bomani ,Kata ya Isengwa na Mwasengela. Ndg.Shemsa amekutana na kuzungumza na...
  11. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Katika kiambatanisho (Attachments) hapo chini ni Mafanikio yaliyopatikana katika Utawala Bora,Haki,Ulinzi na Usalama kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) kwa mwaka 2019/2024 na ahadi kwa ajili ya utekelezaji katika kipindi...
  12. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    ♻️Tamko la Chama cha Mapinduzi kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Katika Tamko hili CCM imejitanabaisha kuwa ni Chama chenye dhamira ya kuwatumikia na kuwaletea maendeleo wanachi . Hapo chini katika kiambatanisho(Attachments) ni sehemu ndogo ya Tamko la CCM ikielezea Mafanikio...
  13. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Shemsa ampongeza Rais Samia kwa kusongesha maendeleo ya taifa mbele

    Tarehe: 24 Novemba 2024Mahali: Kijiji cha Mwandoya, Wilaya ya Meatu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif anayeendelea na ziara yake ya "Siku Saba za Moto" ambapo leo zimesalia siku mbili kabla ya kumalizika. Katika ziara hii, Mwenyekiti alitembelea...
  14. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Simiyu, Shemsa Mohamed asisitiza wajibu wa kila Mwanachama kwenye ushindi wa CCM

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndg. Shemsa Mohamed, ameendelea na kampeni yake ya kutafuta kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, akizungumza na wananchi na vijana wa UVCCM katika Wilaya ya Bariadi. Katika kampeni hiyo, alisisitiza umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika...
  15. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM Itaheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za Mitaa

    CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
Back
Top Bottom