Recent content by pmachemba66

  1. pmachemba66

    Aliyeripoti chuo CBE dodoma campus ya tuwasiliane.

    Kama hutojari nikusaidie kutafuta brooo
  2. pmachemba66

    Aliyeripoti chuo CBE dodoma campus ya tuwasiliane.

    Nahisi ndio broooo jaribu kufatilia kupitia maswayetu.blog
  3. pmachemba66

    Aliyeripoti chuo CBE dodoma campus ya tuwasiliane.

    Wakuu aliyeripoti CBE campus ya dodoma tuwasiliane kuna vitu naomba anijuze...
  4. pmachemba66

    Ugavi ni nini?

    Sorry charles nimeenda wrong aiseeee
  5. pmachemba66

    Msaada wa website ya CBE Dodoma campus

    Asante mkuu hiyo website kila nikiicheki haionyeshi kama inatumiwa yani ndio maana nikawa na wasiwasi nayooo
  6. pmachemba66

    Ugavi ni nini?

    Ununuzi au manunuzi wenzetu wazungu huita procurement
  7. pmachemba66

    Msaada wa website ya CBE Dodoma campus

    Wakuu naomba msaada wa website ambayo iko active ya CBE campus ya Dodoma pamoja na tarehe ya kufungua first year..
Back
Top Bottom