Dini ya Wanafiki hiyo. Mungu asiyeweza kujitetea mwenyewe mpaka watu washike viboko huyo hastahili kuwa Mungu.
Funga ya kweli mtu aridhie kutoka katika moyo wake na siyo kulazimisha watu. Mungu hajawahi kuwa hivi.
Hili jiko bwana linataka shule, ukinunua mfano lile la 3500W, ukapika kwa hizo watt zote 3500 basi umeme wa 10,000/= utalast masaa 8 tu.
Lakini kuna siri moja. Na hii nimepractice mimi mwenyewe nyumbani. Unapotumia jiko hili set moto mdogo kuliko yote hasa kama unapika vitu ambavyo haviinvolve...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.