Ikiwezekana katiba ibadilike kabisa tuige mwendo wa China...watu kama magufuli ni kama wakiondoka messi na ronado wakiiondoka itachukua miongo mingi Sana .......akitoka magu watakuja waswahaili hapa watuuzie ndege zetu hapa na wauze nchi yetu.... Magufuli again for more years namuunga mkono...
Aaaaaah real president awalinde akina mtoto mpendwa ili waive zaid ikulu si mahala pa genge LA wuAza masses na watekaj Kama membe tunajua membe unamilik genge LA watekaj na unalitumia mpaka kupiga wengine ionekane govt imefanya .... Ushafanya matukio mengi shukur ngosha ni mpole
Alikua NANI inahusu nini MBNA maongezi yake yalinaswa jasusi hodari ni pinda tu uyo membe na kundi lake LA waswahili hamna kitndo ndo maana Wakati wa mufungo watu walienda uwani KILA SAA baada kuona chuma kinapenya
ni fisadi wa kutosha kipindi cha awamu ile iliyopita bwana mkubwa alikua anamkataza kutoa mzigo asichafuke sasa anao wa kutosha na ule wa vitambulisho vya taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.