Recent content by Pjayenock100

  1. Pjayenock100

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Duh! Sasa sijui nini maana ya emergency
  2. Pjayenock100

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimewapigia tangu saa 12 ya jioni mpaka sasa sijapata huduma zaidi wameniambia fundi atakuja basi mpaka muda huu sijamuona fundi yoyote.
  3. Pjayenock100

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ya usiku huu wadau, samahan mimi nina shida umeme kwangu umekata alafu kwenye mita imeandika error-1 samahan kwa yoyote anaejua jisi ya ku unlock anisaidie.
Back
Top Bottom