Wakuu,
Je! Ni uvumbuzi upi wa kale kwa kipindi hicho ulikuwa wa kisasa zaidi na teknolojia ambayo ilikuwa bora zaidi?
UVUMBUZI WA IRON CLAW
Kutokana na historia kuna hiki ambacho kilitengezwa na Archimedes kilijulikana kwa jina la Iron Claw. Lengo lake lilikuwa ni kulinda ngome za jiji la...
Wakuu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada ambayo nimejaribu kuhainisha jinsi ya kupata na kujifunza ujuzi wowote
1.Jiwekee mfumo wa kijifunza ujuzi unaopenda/unaoutaka.
Ili uweze kupata ujuzi lazima uwe na muda wako wa kujitolea. Unachotakiwa ni kujipangia ratiba yako maalumu ya kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.