ndio zao hawa matapeli mi washanitummia sana hizo mesegi looh ..ikafikia hatua nikawatukana sana waisnitumie msg zao za wiziii.... zoom sasa hivi kumeharibika sana
yani sijui utapeli utaisha lini eti wanasema utoe hela ya intaviw? kama hawajajipanga kwa nini walitaka watu wa apply? wakwende zaooo..wamenobore sana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.