Recent content by Pinkhijabtz

  1. Pinkhijabtz

    JamiiForums Tanzania Pink hijab days

    Siku zinasonga tunakaribia siku yetu ya PINK HIJAB DAY umejiandaaje chini ni ratiba za uwakilishi wake kwa hapa Tanzania. Tar - 2/2/2018 - Itafanyikia Serena Hotel ( Dar es salaam) kuanzia saa 2 usiku na kuendelea,shughuli kutakuwa na Red carpet, Chakula kizuri,Fashion Show kutoka kwa Hijabsta...
  2. Pinkhijabtz

    JamiiForums Tanzania PINK HIJAB DAY

    *Mwanamke wa Kiislam na yeyote unaependa vazi la Hijab,karibu ujumuike na wenzako siku ya "PINK HIJAB DAY". *Tupia vazi la Pink,Peach ama Red kuendana na siku yenyewe halafu tukutane DIAMOND JUBILEE HALL tarehe 03 - 02 - 2018,kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku. kutakuwa na maonyesho ya...
  3. Pinkhijabtz

    JamiiForums Tanzania Pink Hijab Day

    Thank you.
  4. Pinkhijabtz

    JamiiForums Tanzania Pink Hijab Day

    Tutarepost picha zao kwenye akaunti yetu as kuonyesha stara ya mwanamke ndani ya hijab.
  5. Pinkhijabtz

    JamiiForums Tanzania Pink Hijab Day

    IT IS PINK HIJAB DAYS FOR ALL STARA WOMEN. Kwa maelezo zaidi follow instagram page yetu (pink_hijabtz),weka picha yako ukiwa umevaa hijab ya pink kwenye akaunti yako ya instagram kisha tag akaunti yetu (pink_hijabtz) na hashtag zetu (MyhijabMystara na staraforeverywoman) Corporates tables...
Back
Top Bottom