[emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli lakini sio kweli pia...course nayosoma ipo very general inaingia basically sehemu kama zote .. na nilichangua hii sababu nilikua bado sijajipata nataka nini .....
Pia swala la kuolewa bado Sana... career comes first. No man wants a broke lady right[emoji23]...
Kwa upande wa soko natamani kitu nitafanya kitaifa na kimataifa....bila limitations.
Ni mfano kama E-sports players ambao pia mainly ni programmers. Sio kama ndio nimechagua kuingia E sport moja Kwa moja. ni mfano tuu vile.... Mtu anweza kuswitch mda wowote akafanya kazi ndani na nje with...
[emoji4] Thanks naomba nilirudishe hili swali pia?
Nilikua nastrugle na selection....unaweza ukanipa advice. Basically kwenye soft ware development...Kati ya web developer/ Mobile app developer, games developer .
Kwa interest napenda Sana video games na ilikua ndoto nisiishie kuwa end user...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.