Kaka huyu hamy-d ndio madelu tangu ale ban anatumia hii id ndg moja na simiyu yenu,a.k.a unyakhae, mnyangaa, ifwerro, kilombero id nyingi. Wote from Singida. Huyu Dr Slaa kwanza hawamuwezi na hizi pumba zao zinwadhalilisha wenywe. Kaangalie post ya simiyu kule, so pathetic analia eti Dr...