Recent content by piere.

  1. P

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Mimi sidhani kama kauli ya Zitto inaualakini au shaka yoyote, kwanza hajavunja kipengele chochote cha katiba kwa kutamka nia yake ya kuutaka urais. Lakini pia alichokisema ni nia yake ya kuutaka urais na akaongeza kama chama chake kitampendekeza. Isitoshe kasema atakubaliana na maamuzi yatakayo...
Back
Top Bottom