Recent content by picasso

  1. P

    Kuna wana maombi humu?

    Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka. Sasa nimegundua mwenzangu anapenda ugomvi sana, nimefika mahali nimechoka sana naona siku si nyingi...
Back
Top Bottom