Recent content by Phynah

  1. Phynah

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji toka Handeni; Tanga

    Habari za leo wana jamii. Ninatafuta connection ya kupata kuku wa kienyeji kutoka Tanga hasa wilaya ya Handeni kwa ajili ya kuwasafirisha kuleta Dar es salaam. Ninatafuta taarifa za minada ya kuku; watu wanaouza kuku kule Tanga au dalali ninayeweza kuongea nae tukayapanga. Natanguliza shukrani.
  2. Phynah

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa

    Acheni utoto. Hiyo picha ilikuwa ni futari watu wameweka order wanakula kama familia. Nyie mmeshikilia hilo hilo mmeacha kuongelea mada. Sasa unataka kifunikwe nini wakati walioagiza wenyewe wanataka display iwe hivyo! Kama mnaona rahisi fanyeni na nyinyi mfunike kama mnavyotaka.
  3. Phynah

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa

    Watanzania tuna tabu sana. Mimi nimeanzisha uzi ninatafuta location. Badala ya kutoa maoni juu ya hilo mnaongelea picha. Tafadhali rejea uzi unahusiana na nini; anza na hilo halafu mengine ongeza baadae, la sivyo inakuwa haina maana.
  4. Phynah

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa

    Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa. Eneo linalohitajika liwe na mzunguko mkubwa wa watu (high foot traffic) na ni vema kama watu wanakesha usiku kucha. Kwa sasa ninafanya kazi Chanika na mzunguko ni mzuri sana kwahiyo ninahitaji kufungua location ya pili...
Back
Top Bottom