Recent content by photoshop

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wadau wa photo/video production, natafuta background za studio za kupigia picha

    Wadau, heshima kwenu. Mimi ni mpiga picha mwenzenu niko Geita Natafuta zile background za studio (vile vitambaa maalum vya studio kwa ajili ya kupigia picha za still) Vinakuwa kama picha flani hivi za ufukwe au bustani ya maua nadhani wazoefu mmenielewa namaanisha kitu gani. Nahitaji kwa yeyote...
Back
Top Bottom