Recent content by Philosopher Salilah

  1. Philosopher Salilah

    JamiiForums Tanzania Kwanini Adam.......?

    Katika simulizi la Mwanzo (Biblia), kabla ya kula tunda, Adamu na Hawa walikuwa uchi lakini hawakuwa na aibu. Hii haimaanishi kwamba macho yao hayakuona mwili, bali inaeleweka na baadhi ya watafsiri kwamba hawakuwa na ufahamu wa aibu, hatia na kujihukumu kama binadamu wa baadaye. Baada ya Hawa...
Back
Top Bottom