Recent content by Phillemon Mikael

 1. P

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Yaaani unadhani kikwete alikua ccm na Magufuli kaingia Kwa ticket ya chadema maaana Kila mkataba wa Kikwete watu wengine wanaupoda...Mikataba na China ilikua na tabu Gani ... acheni propaganda .... covert umeme to gas ni kazi rahisi Sana
 2. P

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  JPM anajenga kwa cash Wakati miradi kaama hiyo huwa inajengwa kwa mikopo nafuuu Juzi wamekopa commercials bank kujenga Huo mradi hiyo huwa haishauriwi kabisa kiuchumi
 3. P

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Mbona hao waturuki asilimia kubwa tu ya kazi ya wamewapa sub wachina? Wakenya kama wamepigwa ni wao na mkataba wao ... Ila duniani inajulikaana technology nzuri za SGR ziko China na Germany
 4. P

  Makamu wa Rais, Mama Samia: Wapinzani wana hoja nzuri, zisizojibiwa na Mawaziri

  Huyu mama ana weledi Sana na ana akili kuliko bosi wake
 5. P

  Rais Magufuli amchenjia Makonda?

  Wasaniiii hao Wametengeneza Movie ; nauli ya kwenda Dodoma wakati Huo Makonda aliomba Kila mahali ... maana hiyo ndio ilikua kawaida yake kupita kwa makada wa ccm kuomba omba ( Besenga) kati ya watu waliompa nauli ni Rizwani Kikwete ; Frédérique Lowassa; Mzee Sitta etc Huyu ameshawahi pia...
 6. P

  Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

  Wezake wanazika Nairobi Kumbe yeye alikua anafanya kazi ambayo ingeweza kusubiri Hakuna Jambo linatokea Seating President wa Kenya au Uganda asije .. wenzake wanamchukuliaje Nkuruzinza inaeleweka anaogopa kupinduliwa .... maaana hata mara ya mwisho alirudishwa Ngozi na Makamando wa TPDF
 7. P

  Rais Magufuli alikataa dili la Kikwete na Mchina ya $7.6 Bilioni kujenga SGR yote na leo hii Dar - Makutopora tumetumia zaidi ya $ 2 Bilioni. Ikoje?

  Kati ya Makosa Makubwa ya SERIKALI Hii ni kuingia deal la kujenga Reli na waturuki tunaenda kutumia pesa maradufu ya ile ambayo Kikwete angetumia ; Na Jambo baya ni kuwa tunawalipa upfront wakati Wachina walikua wanatukopesha na tungelipa hadi Kwa Commodity Exchange. Na wangekamilisha yote...
 8. P

  Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

  Kama kwenye hili mwamposa hata la kukemewa hana basi waliokufa “sio watu “ ni “Sadaka” na waliokaaa kimya wanajua ya nani alimtuma
 9. P

  Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

  Wananchi wanasema kuwa aliyetenda kafanya kafara 20 Kilimanjaro 20 Lindi ( japo haya ni Maafa ya mvua tuyaache) Wadanganyika wanahoji mbona kama mkubwa kawa mpole Sana kwa Mwampo ; sio kawaida yake ; hata ikitokea ajali huwa anakemea hadi mawaziri kama Ilivyokua Mwigulu Imekuwaje mauwaji ya...
 10. P

  Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

  Nadhani Kailima alikua anajiamini Sana kwakua anajua alimsaidia kushindwa Atakua Haamini macho yake Na jamaaa alisema “ Huyu ; Alihusika Sana Sent from my iPhone using JamiiForums
 11. P

  Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

  Kailima Ramadhani ndie aliyekuwa na kazi ya kuhakiki doctored results kutoka Kituo Cha Masaki kilichokua chini ya Kina Januari na Kumpa Jaji Lubuva Kazi ya Jaji ilikua moja ; Kusoma tu . Ikimbukwe Kailima aliingizwa Pale tume wiki mbili kabla ya Uchaguzi akiwa na timu yake akiwamo mtaalamu wa...
 12. P

  Drones ni muhimu sana kuzima moto

  Hili pia neno Lugola na Baduel mbunge wa Kongwa waliwahi kufikishwa mahakamani kwa rushwa tena pesa yenyewe waliyohongwa Kwenye Kamati ilikuwa ndogo tu.. Walikuwa aina ya wabunge mercenary ambaye anaweza kupewa pesa kidogo tu akamshambulie waziri au kufumbia macho mambo wansyoyakuta kwenye kamati
 13. P

  Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

  Uchaguzi umefika muda wa Fisi Kula watoto wake kafara Sent from my iPhone using JamiiForums
 14. P

  Drones ni muhimu sana kuzima moto

  Kwa uelewa wako makampuni yote yanayouza vifaaa vya category ya “usalama” duniani wakialika majeshi au maafisa wa nchi yeyote kwenda kuona vifaaa huwa wanagharamia wao Kila kitu kuanzia ticket ; malazi hadi gharama za kujikimu that is a normal practice iwe mtanunua au hamnunui Mfano leo hii...
Top