Recent content by philip kiyame

  1. P

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kubuni biashara

    jamani ninaomba msaada wenu wa kimawazo, nina shilingi milioni tano kwenye account, nisaidieni nifanye mradi gani ili kuizungusha hiyo milioni tano? nimejitahidi kufikiria lakini naona sipati jibu,sasa kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kimazo naomba msaada wenu.
Back
Top Bottom