Hii ni program maalumu inayoendeshwa kupitia ukurasa wa WHATSAPP,
Program hii ilianzishwa December 15,2015,ikiwa na lengo la kuelimisha jamii juu ya utumiaji lishe salama na kupunguza uzito wa miili yao.
Kwa mara ya kwanza tulichukua watu 50 tu na mpaka sasa wamefanikiwa kupunguza uzito wao...