Uhamiaji kumekuwa na malalamiko ya rushwa na usumbufu katika mchakato wa kupata pasipoti. Baadhi ya waombaji wanadai kuwa baada ya kujaza taarifa Mbagala na kwenda Posta kuchukua pasipoti, hupewa vikwazo mbalimbali au kuambiwa warudi kujaza taarifa upya.
Wengine wanasema wamezunguka kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.