Recent content by Petro Masunga

  1. Petro Masunga

    SoC03 Haya ndiyo yalikuwa moyoni mwangu kuhusu mabadiliko na uwajibikaji

    Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
  2. Petro Masunga

    SoC03 Kuhusu elimu ya Yoga

    Elimu ya yoga. Yoga ni elimu ambayo inahusisha viungo vya mwili pamoja na pumzi. Yoga ni moja ya somo muhimu sana katika nchi za Asia, elimu hii inafaa kwa kila rika, ukizingatia katika ufanyaji wake. yoga inafaida nyingi sana katika mwili wa binadamu. Ukiachilia mbali chakula, yoga ni kitu...
  3. Petro Masunga

    SoC03 Motisha katika kuweka lengo kuwa hai

    Haya ndiyo maisha haijalishi ni mambo gani unapitia, lakini fanya jambo moja kuwa hai, kwamba haya ndiyo maisha. Nimewaza sehemu niliyopo sasa, na pia nikafikiria niliko toka, nikashika tama, ama kweli haya ndiyo maisha. Ni mambo mangapi nilitamani huko nyuma, sikuweza kupata? Nilidhani...
  4. Petro Masunga

    SoC03 Kujitambua

    Kuna umuhimu mkubwa sana wa sisi, kuacha kutazama picha, ili tupate mwelekeo. Bali sisi wenyewe ndiyo tuwe hiyo picha. Nyumba iliyo chafu, hata ukileta vitu Safi ndani yake, bado itaendelea kuwa chafu tu. Maana yake, kujifunza kwa wengine ni vizuri, lakini itafaa sana, kama utaisafisha kwanza...
  5. Petro Masunga

    SoC03 Katika ujenzi wa nchi

    nchi yetu, itakuwa na vijana wenye kujikimu kimaisha iwapo tu tutajitambua kwamba sisi ndiyo wajenzi wa nchi. tukijua kwamba sisi ndiyo wategemewa wa kesho, fursa zilizopo katika jamii yetu ni nyingi mno. za kutosha kujipatia kipato. kijana aliye jitambua hachagui kazi eti amesomea nini, bali...
  6. Petro Masunga

    SoC03 Mtazamo wangu...

    Mapungufu ya mtu, yanaonekana katika ubinadamu wake, kwa kile anacho kifanya, hata hivyo tuna uwezo wa kufanya yote, kuwa makamilifu bila ya kurudia makosa yoyote. Jifunze. Unapotaza mapungufu ya mtu, fanya bidii sana wewe kuyasawazisha mapungufu yake, na huu ndiyo uwajibikaji. Hivyo uwajibikaji...
  7. Petro Masunga

    SoC03 Maoni yangu..

    Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii...
Back
Top Bottom