Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu
✅️Shule za msingi: 16,656 → 19,783.
✅️Shule za sekondari: 5,001 → 5,926.
✅️Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330.
✅️Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052...