Recent content by peterndeji

  1. P

    Kushushwa kwa bei ya Umeme Ilikuwa ni uongo usiopingika?

    Serikali ilisema kuwa mradi mkubwa wa umeme ukikamilika yaani Stigler's Gorge umeme utashuka bei hadi kufikia unit 1 kwa 50 Tsh/= kulikoni wamefikia wapi? Au walishaghairi huo mpango?
Back
Top Bottom