Gari yangu nilikua natumia Zanzibar, na wakati wa kusajili walikosea kuandika number ya chasis, wakaongeza number mbili. Kwahio hata document za gari zilizotoka Zanzibar zilikua na hilo kosa. Nilipoamua kurudi dar, wakati wa usajili wakagungua hilo tatizo na kurekebisha. Pesa ya kurekebisha...
Garama za znz
1. Kibali cha polisi
2.Meli
3.Wharfage
4.ZRB
5.ZMA
6.Difference ya kodi
Garama Dar
1.Wharfage
2.Agent fee
3.Kodi tena na usajili baada ya TRA ya dar kupokea file lako kutoka znz
Tafuta agent mwenye uzoefu wa kusafirisha magari kutoka znz kuja bara, atakupa mchanganuo wa garama zote kwasababu ziko nyingi usiangalie hiyo difference peke yake. Nilikua nikiishi znz nikanunua gari ambalo nilitumia zaid ya miaka 3, nilipoamua kurudi bara haikua rahisi kusafirisha lile gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.