Wana JF,
Tarehe 20/10/17 niliandika mada hii: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata
Sasa leo hii hapa ninaleta mrejesho wa mada hiyo, kama ifuatavyo
Samahanin sana sikuweza kujibu kwa mda wote huo, ukweli kabisa mambo hayakuwa mazuri nilipata sana matangazo ya biashara za tiba asilia...
Ndugu wana JF habari zenu ,poleni kwa kazi na majukumu mbalimbali ya ujenzi wa taifa.Nimeamua kuchukua uamuzi huu mgumu wa kuwashirikisha maisha yangu pengine naweza kupata faraja maana ni mzigo ambao unazidi kunielemea kadri siku zinavyozidi kwenda. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.