Recent content by Peter Step

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Shukkran kiongozi
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Okay thank, Ushawahi kufanya kazi nao au umekadiria tuu kiongozi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Nilienda kwenye interview yaoo , wakauliza swali la salary expectation nikawajibu kuwa tunaweza kukubaliana wakakataa kabisa wakasema wanataka nitaje amount ambayo mimi naitaka , nikaona kama vile ni mtegoo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa loan officer wa Wezesha Microfinance Ltd ni kiasi gani?

    Habar zenu naomba kuuliza mshahara wa credit Officer Wezesha microfinance Ltd
Back
Top Bottom