Recent content by pescop bin lucky

  1. P

    SoC03 Hujafa, hujaumbika

    Tangu utotoni kumekuwa na mbinu ama michezo ambayo imetusaidia katika kutukuza kiakili hata ki fikra, uwe umekulia mjini hata kama vijijini kuna ule mchezo wa kufichama na mmoja ana tutafuta ule mchezo lengo lake ni kutukuza kiakili mtu mmoja inabidi uzisome akili za wengi ili uweze kushinda...
  2. P

    SoC03 Mabadiliko katika imani kwa vijana

    STORY OF CHANGE Katika maada yangu ya mabadiliko mimi napenda kuzungumzia suala zima la iman,kuwa na imani na viongozi tuliowachagua/ wanao tuongoza ni jambo lingine lakini suala zima la iman nalielekezea katika dini, Mungu ndie kiongozi wetu mkuu na ni mfalme wa aman tukimuamini yeye yote...
Back
Top Bottom