Recent content by PESAMADAFU

  1. P

    Lara 1 Ningekuwa Mwanaume Wasichana Wangefurahi Sanaa!!!!!!! ( AKITAKACHO MSICHANA)

    very few women know what they really want from a man. women needs challenge, she needs a man who can lead her, a man who can say both yes and no basing on circumstances. a man who can make her feel secure in all aspects of life like socially, economically and cultural. role ya mwanaume ni...
  2. P

    Je, Hili linaukweli kwa kiasi gani?

    Wapo wanao amini kwamba tabia za binadamu zinauhusiano flani na tarehe zao za kuzaliwa if u learn about astrology. Kwa mfano kuna watu wanapenda sana madaraka, wengine wivu sana, wengine wapole n.k hivyo basi inaweza kuwa na uhusiano kwa sababu mtu ana husisha general characters na experience...
  3. P

    Akae mkoani kuepusha shari, au amfate hukohuko bila kujali yatayompata

    Love is the process and not an event. Wakati wowote mwanadamu anaweza kubadilika kutoka uzuri kwenda ubaya n viseversa. Anachotakiwa kwanza ni kucontrol hasira kwa sababu hazijawahi leta maamuzi yenye tija. pia ajiulize mzizi wa tatizo uliosababisha mume achepuke, akishapata majibu akate huo...
  4. P

    Password ya nini wakati mnaishi pamoja kama mke na mume?

    Kwanza ni vizuri kufahamu uaminifu wa mpenzi haupimwi kwa kutoweka password tu, zipo apps ktk smartphone haziruhusu sms kwenda inbox bali zinaingia somewhere hidden na hutoweza kujua. pili upekupeku sio jambo zuri kwa sababu yapo baadhi ya mambo ni confidential especially ya kikazi n.k. Tatu...
  5. P

    Wanawake Shtukeni! Sera za haki sawa chanzo cha kuvuruga ndoa zenu

    wanawake wamepewa nguvu kubwa sana ya ushawishi, kama akijua kucheza vizuri na hisia za mwanaume wake. Ukiona mume anafanya ukatili ujue mke hajawa mbunifu wa kucheza na hisia za mwanaume na kumfanya ampende, amjali na kumuonea huruma pia. Tatizo la mapenzi hutatuliwa kwa mapenzi sio kwa vitisho...
  6. P

    Mke wa rafiki yangu

    ukweli unauma lakini hakuna namna mwambie tu. pia ingekuwa ngumu sana kama bado wangekuwa pamoja lakini kama wametengana na wapo kwenye mchakato wa kurudi mweleze tu.
  7. P

    Ni kiasi gani mwanaume anapaswa kumwachia mke wake kama matumizi ya siku?

    Fanya analysis ya mahitaji ya msingi na bei zake sokoni kisha uache hicho kiasi. kwa mfano bei ya sukari, mafuta ya kupikia, mkaa, unga au mchele n.k kisha acha kiasi kilingana na hitaji la siku hiyo
  8. P

    Shemeji yangu ananitaka

    kumwambia jamaa ni utoto? ila unaweza kumuepuka simply kwa kumuoesha ye sio type unazopenda. hata kama asingekuwa shemeji usingekula. but kama na wewe sitaki nataka itakua ngumu.
  9. P

    Ni kiasi gani mwanaume anapaswa kumwachia mke wake kama matumizi ya siku?

    matumizi hutegemea na kipato cha mtu, kikubwa mahitaji ya msingi yaweze kupatikana kulingana na utaratibu wenu wa maisha
  10. P

    Hauna ajira kama mimi?twende Malawi tunalipwa mahela kibao kuwatoa bikra wasichana

    hiyo ni fursa adimu san, vipi lakini wanaruhusu na kuoa ukisha mbikiri?
Back
Top Bottom