Nimecheka aki!,hatakama ulikeketwa ukiwa mdogo,ukiwa mkubwa utagundua tuu kupitia shule(kufundishwa kuhusiana na reproduction,via vya uzazi n.k,kuna terms utazisikia kama clitoris,mtaambiwa kilivyo,mtaoneshwa picha,kazi yake. Pia kwa waliosoma boarding ni kawaida kwa wadada kuoga pamoja,pia...