Recent content by Perpe

  1. Perpe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Naitamani Tanzania itakayokubali kuwa ulemavu sio kushindwa

    Naomba kuwaalika wana Jamii forums kusoma makala hii.
  2. Perpe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Naitamani Tanzania itakayokubali kuwa ulemavu sio kushindwa

    Kwanza kabisa, wengi wanaweza kutokubaliana na mimi kwamba bado Tanzania inayowainua walemavu kwa vitendo zaidi na sio kwa maneno na sera haijatenengenezwa, tunaishi kwenye nchi ambayo mengi huongewa kuliko kutimizwa haswa kwa upande wa kuwezesha walemavu. Mlemavu ni mtu yoyote mwenye...
  3. Perpe

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ndoto yangu ilivyosimama

    (Hii makala ni kisa cha kweli kilichotokea maishani mwangu) Nilikuwa nikitamani sana kuwa daktari wa magonjwa ya moyo,tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikijihamasisha kwa kusoma kwa bidii ili siku moja niwe daktari mwenye msaada mkubwa kwa nchi yangu,Mungu alinijalia uelewa mkubwa darasani na juhudi...
Back
Top Bottom