Hivi cc wa Tanzania tuna matatizogani nakuwa na mashaka sana, manake nijambo laajabu sana watu wanagundua wizi wa B 200 baadala ya kushtuka unaanza kusema sijui Chadema wame faa koti la Ukawa na maneno mengi yasiokuwa na msingi. Kwamtu anaejua siasa visuri huwezi kumpinga mpinsani wako kwakila...
Mnaoota CHADEMA kuwasamehe Zitto na wensie nawaomba msahau, Mkuu Chadema ni chama ambacho kinaongoswa na watu wenye maono na sio mambumbu, na niwakumbusheni 2 wakati tuhuma za akina Zitto siliansa wengi walifikiri kwamba Chadema wamekurupuka. But mwisho wa siku mmejionea wenyewe, kiukweli...
Kijana naona umefurugwa yaani unataka kutuambia bila ccm nchi haitawaliki tena! Nafikiri hujijui wala hujielewi. Sikia kijana huu ni ukweli mchungu ambao hutapenda kuusikia lakini nitakwambia. Ndugu yangu hii ccm yako unaitetea sana lakini pengine hujajua kama mwisho wao umefika ccm chuma chao...
Mhuni mkubwa wewe. Unaonekana wewe ni mmoja wawale wanaoteuliwa usijali ck sinakuja kila ki2 kitakuwa shwari, tuna historia na watawala wa dunia acha ccm. Huna aibu wensio wamesoma kimagumashi na mungu akawasaidia wakapata elimu but kazi imekuwa ndoto, kisha wakati wanapopata nafasi yakujielesea...
Huu ujinga wakumuita mbowe dj unamsingi gani? Eti kwasababu anamiliki biashara ya club. Huu ni umaskini wa mawaso na uwezo mdogo wakufikiri. Naonaga kila ck watu wenye akili eti "huyo ni dj" tuache siasa za peza nane mpinge mtu kwa hoja na kama huna hoja tulia kijana. Najua mbowe anawanyima...
Tuacheni huu ujinga wakuhubiri chuki sa kikabila nafikiri tulio wengi wa Tz hatujui athari sa ukabila ndo maana tunafanya mchezo. Ndugu sangu wa Tz nawaomba tufanye siasa lakini swala la ukabila tuliache lilivyo manake litatu cost kama taifa. Nasema hivi kwa sababu nina mfano msuri wa wensetu wa...
Mfumo wa serekali sa majimbo ni bomba sana, japo hata wensetu wa kenya hawajauelewa fisuri but kuna baadhi ya maeneo umeansa kuonyesha mafanikio makubwa mfano Machakosi county
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.