Recent content by Pekenina

  1. P

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    K Kweli kabisa Mungu hakuumba moto bure
  2. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Inawezekana Maiti iligoma kuipotezea ushahidi wake
  3. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Mungu akiamua kukuumbua juu ya muumba wake hashindwi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Familia ya Kibao: Muislamu akifa kinachofuatia ni Mazishi, mengine ataamua Allah!

    Kujikabizisha kwa Mungu nI kitu kizuri sana,kwani yeye ndiye wa kulipa kisasi si mwingine
  5. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Niseme kama hili swala Rais hahusiki,na ana nia kweli ya kuchunguza,basi polisi wangeanzia kwenye makampuni ya simu,maana mda mwingi nasikia watekaji walikuwa wakiwasiliana na marehemu Hii ishu haina tofauti na ile ya mtoto alibino
  6. P

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

    Unatarajia kwa yanayoendelea sasa hivi akifa SA100 tutasikitika?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Kwenye Udini alichemka
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    K Kabla ya kueleza matokea ilibidi ueleze chanzo,unajua jamii forum ni zaidi ya shule,hatutakiwi na sisi tuwe sehemu ya kuopotosha jamii,huku tunajua ukweli
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Hivi Idd Amini alikuwa mjinga mpaka aanze kuivamia Tanzania bila sababu? nimeleza kwa kina sana,ile Vita ilikuwa ya kumrudisha rafiki yake Miltoni Obote madarakani alijua labda itakuwa kama ya Israel na Hamasi labda ndani ya mwezi itakuwa imeisha
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    Mbona alikuwa analindwa sana,unazani alichokuwa anaogopa nini?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

    NNh HHe Hebu nikuulize kulikuwa na Sababu gani ya Tanzania kuingia Vitani na Uganda
Back
Top Bottom