Nimesoma Sana Makala zako since 2017,nikiwa sio Member JF,haujawahi kuniangusha Kaka,,Mungu akubariki kwa Elimu unayotupa Sie!Japo unakutana na challenges nyingi Sana,,Dunia ngumu Sana Hii!Big Up!
"Eat more the slogan says,
More beef,more milk, more meat,
But I'm unemployment pay for three years and wed,I wonder when I see a slogan, when I pass,
The only thing suit me is,
Eat more Blood and Grass"
Kuna mdau mmoja alikuwa Fundi ujenzi mzuri Sana,alikulia na kuzeekea kitaa pia alikuwa Rafiki Yangu Sana,aliniambia;
1.Fanya biashara zote kubwa uwe na hela nyingi Sana,
2.Jifanye King mswati kula mademu wakali unavyoona inafaa,
3Fanya pati na marafiki unavyopenda Wewe,,Rafiki Chawa,
4.Nunua...
Maisha haya,Kuna Boss nikiwa shirika Moja la Umma,alinichukia bila sababu nikiwa Afisa mdogo tu aliwaambia watumishi wenzangu"Huyu dogo akiingia akiingia kwenye tingatinga zangu,,namng'oa kwa kishindo"nikaona isiwe tabu nikaacha Kazi!Desemba 2024 nimemkuta amepooza 1/2 ya mwili wake,,!Karma...
Mzee Karl Ernest Milinga,mwalimu wa Geography A level miaka ya 1990's pale Kantalamba sec School,popote ulipo Mwenyezi Mungu akutunze,, hakika ulikuwa Fundi wa Geography.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.