Recent content by peace.peace.14

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Asante Yericko...leta updates bila kumungunya wherther ameshinda Zito or Chadema.Ingawa nahisi ZZK atashinda lakini hana pa kwenda atajiuzulu na kuondoka mwenyewe baada ya hapo!!..Natabiri
  2. P

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto kwa Kamati Kuu: Mashitaka yote sio ya kweli na sijavunja Katiba

    Zito ni mjanja sana...amejibu kama "hamnazo" na haachi nafasi ya ku'raise maswali zaidi.Ninaamini kwa dhati kabisa ndani ya moyo wangu amehusika na alikuwa anajua kinachoendelea kwa 100% . Sio rahisi Kitila na Mwigamba waandae mkakati mzito wa mapinduzi halafu anayelengwa hajui au hayuko aware...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wachina tena: Wakamatwa na Meno ya Tembo 81 Bandarini Dar es Salaam - Jan 2, 2014!

    Haha..haha..serikali yetu iko very reactive badala ya proactive!!Tembo washakufa..meno yanasaidia nini sasa. Imejizatiti nini hapa??? . Badala ya kuanzia kwenye source ya tatizo. Hii ndio shida ya ufisadi.
Back
Top Bottom