Recent content by PAULSEN PETER

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Tunataka perfomance yake
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Hatarini Kusimamishwa kuhudhuria Bungeni

    Mambo yatakuwa mema kwa CHADEMA kama magamba yakifanya hivyo kwa sababu chama chake kitazidi kuzama kwenye mioyo mikunjufu ya watanzania wanyonge.Hatutayaogopa tena magamba kama tulivyofanya 2010
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Hatarini Kusimamishwa kuhudhuria Bungeni

    Hakika tulitegemea mambo kama haya kumtokea LISSU kwa sababu ya tabia yake ya kusaka haki kwa nguvu hata kuhatarisha maisha yake na vile alivyonavyo e.g UBUNGE.CCM wanamjua vizuri sana mtu huyu na ndio maana wanataka kufanya kama wanavyojua.....................!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Hatarini Kusimamishwa kuhudhuria Bungeni

    Wafanye kama walivyozoea mimi na wananchi wenzangu wa SINGIDA MASHARIKI tulifanya kazi ya ziada kumpeleka bungeni 2015 kwa kuwa magamba yalijua haya yote.Singida Mashariki tunampenda,tunamthamini,tunamuhitaji,tunamuheshimu na tutaendelea kumthamini na kumpigania mtu huyu.Maana ya TUNDU ni aina...
Back
Top Bottom