Recent content by Paul Shadrack Ntemi

  1. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uanzishwaji Wa Vituo Vya Marekebisho (Rehabilitation Centre) Katika Majiji Tanzania: Soluhisho la Watoto wa Mitaani na Ongezeko la Wazalishaji Mali

    Ni kweli mkuu lakini Hilo jambo hatuwezi lifumbia macho. Lazima litafutiwe suluhu
  2. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kubadilisha Tanzania kutoka nchi maskini zaidi hadi nchi iliyoendelea kwa kuchukua mifano kutoka Korea Kusini

    Mkuu hili Wazo makini Sanaa, hakika nimejifunza mkubwa, Tuna vichwa makini Sanaa Tanzania.
  3. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vituo vya kilimo vya wilaya kutatua changamoto za wakulima

    Wazo zuri la kufikia Tanzania tuitakayo
  4. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Akili kubwa Sana imetumika hapa mtu kazi, congratulations Kwa wazo bunifu
  5. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Hongera sanaa boss Kidaya huu Uzi mkalia Sanaa. Dr. Paul
  6. Paul Shadrack Ntemi

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uanzishwaji Wa Vituo Vya Marekebisho (Rehabilitation Centre) Katika Majiji Tanzania: Soluhisho la Watoto wa Mitaani na Ongezeko la Wazalishaji Mali

    Utangulizi Ili tuifikie Tanzania tuitakayo ni muhimu kushughurikia suala la Watoto wa mtaani. Watoto wa mtaani ni Kundi la watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani, mara nyingi bila usimamizi wa watu wazima, pia mitaa wameifanya ndio sehemu ya kujipatia mahitaji yao ya kila siku ikiwemo chakula...
Back
Top Bottom