Recent content by Paul Manjala

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Naomba nikujibu kitu kimoja umekieleza hapo" kwamba mtu aliye feli 4m4 asipewe Urais" nisawa upo sahihi kabisa lakini kipimo pekee cha mtu kuwa kiongozi si tu kusoma level fulani lahasha kwangu najua kipimo kikubwa sana katika maisha ya mtu mwenye nia ya kuwa kiongozi nikama ifuatavyo ; Awe...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa "Siasa Safi" Afrika ndo chanzo cha Umaskini

    Sawa kabisa lakini naomba nikuulize swali Tunaposema SIASA SAFI katika Taifa 🇹🇿 na Afrika kwa ujumla je, Ni kivipi Siasa safi itumike ili kuleta maendeleo, amani, usawa, utulivu na uzalendo baina ya mtu na mtu katika Taifa 🇹🇿 na Afrika kwa ujumla?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Siasa safi ndio mhimili Mkuu katika Taifa, kwa sababu hujenga umoja, mshikamano, amani, utulivu na uzalendo baina ya watu

    SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa. Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa mfu ,,,,,, niwaombe ndugu zangu watanzania Tusimame imara katika kuhakikisha tunawatumikia watanzania...
Back
Top Bottom