Jamani mi napenda kuishauri TCU ijaribu kutembelea mara kwa mara vyuo vikuu kuangalia elimu inayotolewa huko, Kwani kuna baadhi ya vyuo vikuu hapa nchini elimu itolewayo ni sawa na mtu kwenda kuchukua cheti sio kupata elimu. kuna chuo kimoja sipendi kukitaja kwa jina kinatoa shahada ya uzamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.